3D Blue Shapes
3D Messaging Visuals
Abstract Connectivity

Wafikie Maelfu ya Wateja kwa Sekunde Chache Kupitia Bulk SMS

Tuma SMS kwa maelfu ya wateja ndani ya sekunde chache kupitia mfumo wa haraka, salama na wenye uhakika kwa biashara, Shule pamoja na huduma za kiofisi.

BULK SMS ni Nini?

Bulk SMS ni huduma inayokuwezesha kutuma ujumbe mfupi (SMS) kwa watu wengi kwa wakati mmoja kupitia mfumo mmoja rahisi na wa haraka. Biashara, shule, taasisi na kampuni hutumia Bulk SMS kuwasiliana na wateja wao. Kwa Mfano

01

Matangazo ya Biashara

“Pata punguzo la 20% wiki hii kwenye bidhaa zote. Tembelea duka letu leo!”

02

Kumbusho za Malipo

“Habari John, kumbuka kulipia huduma yako kabla ya tarehe 15 Mei kuepuka kusimamishwa.”

03

OTP & Verification

“Namba yako ya uthibitisho ni 482913. Usimpe mtu mwingine.”

Mipango ya Gharama

Starter

Tsh 25
  • • Salio la SMS 1 na Zaidi
  • • Bila ukomo wa muda
  • • Derivery report ya haraka
  • • Huduma ya Saa 24/7

Business

Tsh 23
  • • Salio la SMS 6,000 na Zaidi
  • • Bila ukomo wa muda
  • • Derivery report ya haraka
  • • Huduma ya Saa 24/7

Enterprise

Tsh 20
  • • Salio la SMS 55,000 na Zaidi
  • • Bila ukomo wa muda
  • • Derivery report ya haraka
  • • Huduma ya Saa 24/7

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara